Birthday ya mwaka mmoja ya Tiffah kufanyika Mlimani City
na followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali
Tiffah ni supastaa mtoto kuliko wote Afrika?

Tayari mtoto huyo ana miezi 10 na hiyo ikimaanisha kuwa birthday yake ya mwaka mmoja inakaribia. Tiffah alizaliwa August 6, 2015.
Diamond anadaiwa kuanda birthday party ya kukata na shoka ya mwanae huyo na ametangaza kuwa itafanyika Mlimani City. “Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale mlimani City patakuwa kama Disney Land!!!! @princess_tiffah,” ameandika Diamond kwenye Instagram.

Naye mama yake alimpongeza kwa kuandika: Yesterday you were mummy’s tiny baby and today you are mummy’s big girl. Happy 10 my beautiful princess the apple of my eye, the air I breathe. Plse don’t grow so fast, mummy will miss you being her baby.”
Post a Comment