Tamthilia za kwenye TV hapa nchini zinaendelea kurejea tena. Hivi karibuni JB na Irene Uwoya
Tamthilia za kwenye TV hapa nchini zinaendelea kurejea tena. Hivi karibuni JB na Irene Uwoya
wanatarajia kuja na tamthilia zao. Lakini kwa sasa tamthilia ambayo inaonekana kuja tofauti na iliyotokewa kupendwa na vijana ni Kelele ya Clouds TV.

Max Spesho mmoja wa waigizaji wa tamthilia ya Kelele
Nimezungumzia na mmoja wa mastaa wa Kelele, Max Spesho kuhusu utofauti wa series yao na kwanini inaonekana kuwa na uhalisia zaidi kuliko zingine zilizoeleka.
Post a Comment