Header Ads




MWenyekiti wa soko kuu manispaa ya shinyanga ALEX STIVINI amewataka wafanya biashara wa soko hilo wajijengee tabia zuri yakutupa uchafu indapo dampo[GUBA] hilolitakapo kamililika kujengwa


wakati akizungumza na mwandishi wetu amesema kuwa mradi utakapo kamilika wa ujengaji wa guba hilo ambalo lipo sokoni humo amewaomba wafanya biashara wa soko hilo kujijengea tabia ya kutunza uchafu wao, ili wale amabo wameajiliwa na serikali kukusanya uchafu huo wakute sehem maarum kuliko kukuta kila sehem kuna uchafu

aidha amewataka wafanya biashara pamoja na wanunuzi wa soko hilo kuepuka kutupa uchafu ovyo kwani sheria itafata mkondo wake kwa yule atakae tupa taka ovyo

No comments