Header Ads

MSANI TOKA TANZANIA DARASA AONGEREA SONG YAKE YA UTANIPENDA


                                  MSANI TOKA TANZANIA DARASA

RAP darasa reo wakati akiojiwa kwa njia ya sim na sylass denniss amesema kuwa alikuwa na  aidear ya song yake ya UTANIPENDA  kwamda mrefu  ata korasi ambayo ameimba msanii wa bongo freva ambae kwasasa yopo chini ya rebo ya  WCB  RICH MAVOKO ilimchukua mda kuikamilisha na hii aidear alikuwa nayo kwa mda mrefu 



 rap darasa amesema kuwa katika ngoma ambayo imemkosti pesanyingi ni   video ya UTANIPENDA imefanyiwa hapa hapa TANZANIA kuanzia biti   mpaka video  
dereter katika video ya UTANIPENDA ni scana  na madhingira ni ya hapahapa TZ

DARASA amewataka mashabiki zake  waenderee kumsapoti  kwani kuna kitu kitakuja hivi punde wakee mkao wakura


KWAMA TANGAZO /USHAURI/HABARI/ WASILIANA NASI KWA NAMBA YA WHATSAPP O742692079


No comments