Header Ads

qgirl aja na poyoroko

QIRL NIMSAINI wa bongo freva ambae anafanya kazi zake mkoani TABORA qiril amekuja na song jipya amabaro limepewa jina la POYOROKO .
 
akizungumza na sylasdennisblog.com amesema kuwa POYOROKO  Limetokea katika kabila la kisuma ambalo  neno hilo lina maana ya kutokua minia kati ya watu wawili wa pendano

qil ameieleza blog hii kuwa video ya wimbo wake wa poyoroko utakamilika hivi punde

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0742692079


No comments