ALY KIBA BAADA YA WIMBO AJIANDA KUTOA SONG MPYA
KALIZOTE BLOG
Baada ya kuonjesha kile ambacho tutakiona kwenye video ya ngoma yake mpya, Alikiba anaweza akawa ametupa jina la wimbo huo.
Alikiba akiwa na warembo watakaoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya
Mkali huyo wa Aje, ameanza kutumia neno #Kajiandae kwenye post zake mpya, huku kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa likawa ndio jina la ngoma hiyo.
Hata hivyo bado haijulikani iwapo Kiba alienda Afrika Kusini kushoot video mbili au moja kwasababu hivi karibuni alidai kuwa alishoot video ya version ya Aje akiwa na rapper wa Nigeria, M.I.
Yeye pamoja na msanii mwenzake wa Rockstar4000, Barakah Da Prince walikuwa nchini humo kushoot video zao mpya
Post a Comment