Header Ads

WACHINA WA CHUMBIANA UWANJANI

KALI ZOTE BLOG

  • 15 Agosti 2016
Wachina wachumbiana michezoni Rio De JaneiroImage copyrightAP
Image captionWachina wachumbiana michezoni Rio De Janeiro
Muogeleaji wa Kichina He Zi alikuwa amepokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.
Wachina wachumbiana Rio de janeiro
Image captionWachina wachumbiana Rio de janeiro
Lakini alipata zawadi nyengine wakati mpenzi wake Qin Kai mbele ya matangazo ya runinga yaliokuwa yakipeperushwa duniani kupiga goti moja na kumchumbia.
Kwa bahati nzuri ,Qin ambaye yeye mwenyewe alishinda medali ya shaba alikubali.
Wachina wachumbiana Rio de janeiro
Image captionWachina wachumbiana Rio de janeiro
''Tumekuwa wapenzi kwa miaka sita ,lakini sikudhani kwamba atanichumbia leo'',alisema.
Amesema kuwa :Vitu vingi vilileta ahadi nyingi ,lakini kitu kilichonigusa zaidi ni kwamba huyu ndio mtu ninayeweza kumuamini kwa maisha yangu yote.
Wachina wachumbiana Rio de janeiro
Image captionWachina wachumbiana Rio de janeiro
Watazamaji wamesema kuwa kisa hicho cha kipekee kilitawala sherehe za kutoa medali katika michezo hiyo.
Wachina wachumbiana Rio de janeiro
Image captionWachina wachumbiana Rio de janeiro

No comments