Arsenal kuivaa Nottingham Kombe la Ligi England
KALI ZOTE BLOG
Droo ya Raundi ya 3 ya Kombe la Ligi ya England ambalo kwa Miaka Minne lilikuwa likiitwa Capital One Cup kutokana na udhamini wa Capital One, imefanyika baada ya kukamilika Raundi ya Pili.
Baadhi ya mechi hizo ni:
- Nottingham Forest v Arsenal
- Palace, Swansea v Manchester City
- Tottenham vs Gillingham
- Everton v Norwich City
- Derby County v Liverpool
- Northampton v Manchester United
- Leicester City v Chelsea
- Leeds United v Blackburn Rovers
- Queens Park Rangers v Sunderland
- West Ham vs Accrington Stanley
- Southampton v Crystal.
Mechi hizi zitaanza kupigwa Septemba 19
Post a Comment