Tazama picha na ujumbe wa mastaa wa Marekani kwa marehemu Aaliyah
Jana Agosti 25 ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha msanii wa R&B wa Marekani, Aaliyah aliyefariki kwa ajali ya ndege mwaka 2001 akiwa na miaka 22 huko kwenye kisiwa cha Abaco. Mastaa wa Marekani wameandika ujumbe wa kumkumbuka mwimbaji huyo.
Beyonce
I want to see D’Angelo perform, Girl, I’m witcha. Cause you know he fine
Ludacris
One of my fav #tbt #ripaaliyah
Missy Elliott
#Aaliyah15yearsLater I can still hear your Laughter:mrgreen:U have inspired SO MANY musically/style u will NEVER b 4Gotten
Nas
Prayers up! One of kind. One and only. Miss ya!! Luv
I want to see D’Angelo perform, Girl, I’m witcha. Cause you know he fine
Ludacris
Post a Comment