Header Ads

Kipyegon wa Kenya bingwa mbio mita 1500

KALI ZOTE BLOG


Kipyegon atwaa Medali ya dhahabuImage copyrightAP
Image captionKipyegon atwaa Medali ya dhahabu
Kenya imeng'ara tena baada ya mwanariadha wake Faith Kipyegon kunyakua dhahabu ya tatu kwa ajili ya Kenya katika mbio za mita 1500 wanawake.
Kwa upande wa wanaume Mjamaica Omar McLeod naye alinyakua dhahabu ya mita 110 wanaume.
Leo baadaye pia tunategemea kuwaona tena wakenya Kipruto Conseslas, Ezekiel Kemboi na Brimin Kiprop pamoja na Jacob Araptany kutoka Uganda wakishiriki mbio za mita 3000 za kuruka maji na vihunzi

No comments