Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedy, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambaye Agosti 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwaye Monica amefanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa vijana wanaochelewa kuoa.
Post a Comment