Header Ads

MAKOCHA 10 WANAOLIPWA MSHA HALA MKUBWA

Najua mtu wangu wa nguvu umezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka tu, lakini leo Agosti 19, 2016 naomba nikusogezee TOP 10 ya makocha wanaoongoza kwa kulipwa mshahara mikubwa katika soka, katika list hii namba moja na mbili zimechukuliwa na makocha wanaofundisha vilabu vinavyotolea jiji moja la Manchester. 

10. Rafael Benitez – Newcastle United ($5.8 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 12 kwa mwaka) 

 
9. Mauricio Pochettino – Tottenham Hotspur ($7.1 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 15 kwa mwaka) 

 
8. Antonio Conte – Chelsea ($8.4 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 18 kwa mwaka) 

 
7. Luis Enrique – Barcelona ($9 million aambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 19 kwa mwaka) 

 
6. Jurgen Klopp – Liverpool ($9 million ambazo ni zaidi ya Tsh 19 bilioni kwa mwaka) 

 
5. Zinedine Zidane – Real Madrid ($10 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 21 kwa mwaka) 

 
4. Arsene Wenger – Arsenal ($10.7 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 21 kwa mwaka) 

 
3. Carlo Ancelotti – Bayern Munich ($11.6 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 24 kwa mwaka) 

 
2. Jose Mourinho – Manchester United ($17.7 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 38 kwa mwaka 

 
1. Pep Guardiola – Manchester City ($19.4 million aambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 42 kwa mwaka) 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

No comments