HAYA NDO MAKUNDE KUMI YALIYO PENYA KUFIKA ROBA FAINALI
KALI ZOTE BLOG
Kundi la DDI Crew la jijini Dar es wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini,Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki
Mazabe Crew
Makorokoro Boys
J COmbaty wa Zanzibar
Wazawa Crew
Clever Boys
TCW Crews
Mafia Crews
Ikulu Vegas
The Guest Crew
Post a Comment