BEENIE MAN ARUDI TENA KWENYE GAME BAADA YA kusumbuliwa mwezi uliopita na virusi vya ZIKA
KALI ZOTE BLOG
KALI ZOTE BLOG |
Beenie Man Kwa sasa afya imerejea katika hali yake ya kawaida ni
mzima wa afya baada ya kusumbuliwa mwezi uliopita na virusi vya ZIKA
vilivyomfanya ashindwe kuhudhuria katika show iliyoandaliwa na OVO FEST
Legend huyo wa dancehall pia kulikuwa na
rumors kuwa jamaa anamaambukizi ya virusi vya ukimwi baada ya muda mfupi Beenie
man kupost picha inayomuonyesha amelazwa hospitalini kupata matibabu ya homa
kali ya ZIKA V, Taarifa hizo zilianza kusambaa kuwa anavirusi hivyo vibaya
katika afya ya binadamu ambapo vyanzo vya habari hii ambaye ni mtu wa karibu wa
legend huyo alisema hizo sio habari za kweli ni uwongo mtupu kuwa anamaambukizi
ya HIV.
Beenie Man, ambaye alisema atatoa album
yake mpya iitwayo UNSTOPPABLE mwishoni
mwa mwezi huu yaana tarehe 26 August mwaka huu.
Kati ya waalikwa katika uzinduzi huo wa
UNSTOPPABLE ni Bounty Killler, Sizzla Kalonji , Agent Sasco, Christopher
Martin, and Tarrus Riley.
KAL IZOTE BLOG |
Post a Comment