Header Ads

Bondia wa Namibia akamatwa Rio ATAKA KUBAKA

      KALI ZOTE BLOG


Bondia wa Namibia aliyekamatwa Jonas Junias
Image captionBondia wa Namibia Jonas Junias
Bondia wa Namibia ambaye anashiriki michezo ya olimpiki huko Rio nchini Brazil, amekamatwa kwa tuhuma za kesi ya ubakaji.
Jonas Junias ambae alibeba bandera ya Namibia siku ya ufunguzi wa michezo hiyo amepelekwa katika moja ya megereza makubwa huko mjini Rio.
Polisi wa Brazil wanasema alimbusu mhudumu wa chumba kwa lazima katika kambi ya wanamichezo na alimuahidi kumpa pesa kama atakubali kufanya nae mapenzi.
Bondia wa Morocco Hassan Sada nae alikamatwa Ijumaa iliyopita. alikanusha tuhuma hizo lakini bado yupo chini ya usimamizi wa polisi.

No comments