Bounty Killler kushindwa kuhudhuria kutokana sababu kadha zilizojuu yake
KALI ZOTE BLOG
Ile tour iliyokuwa imesubiliwa kwa muda mrefu huko europe imeshindikana kufanyika kutokana na mhusika Bounty Killler kushindwa kuhudhuria kutokana sababu kadha zilizojuu yake the dancehall legend huyo ameomba radhi kwa mashabiki wake wiki hii kupitia mtandao wa instagram akidai matatizo ya production
Bounty killer pia amekanusha taarifa zilizosambaa kuwa hawezi kusafiri kwenda nchi yoyote kutokana na matatizo ya visa
Bounty killer ambaye mwishoni mwa mwezi huu anatarajia kuperfom katika uzinduzi wa album mpya ya legend mwezie beenie man nchini Canada
SIKILIZA HAPA ALIVYO SEMA BOUNTY
Post a Comment