P-Square WAJIANDA KUTOA NEW SONG HIVI KALIBUNI
KALI ZOTE BLOG
Baada ya miezi kadhaa ya kutoelewana na kusababisha kuvunjika kwa kundi la P-Square sasa, Peter na Paul Okoye POAULO wameanza kurekodi kazi mpya. |
Mwezi Julai mwaka huu member wa kundi hilo Peter Okoye aliandika ujumbe kwenye Instagram akiwaomba msamaha mashabiki wao kwa kuvunjika kwa kundi hilo lakini aliwaahidi kuwa P-Square linarudi tena na alitangaza kumrejesha kaka yao, Jude Okoye kama meneja wao.
Kupitia akaunti ya Instagram, Peter ameandika ujumbe unaoonyesha kuwa kuna kitu kipya anarekodi studio na ndugu yake Paul.
Something new Cooking in da kitchen and about to come out! From us! You already know it’s P2 baby!!! #KoolestDudes
Kurudi upya kwa kundi hilo ni ndoto ya kila shabiki wa muziki Afrika kutokana na heshima kubwa waliojitengenezea kipindi walipokuwa pamoja. Muda ndio utaongea tusubiri tuone.
Post a Comment