Header Ads

Faida Za Kufunga Ndoa Mapema

sylass

 

Ndoa ni jambo la kheri ndio maana hata kwenye vitabu vya dini, bila kuchagua imani imesisitiza suala hili la ndoa kwani ni njia njema ya kuepuka mambo yasiyokuwa sahihi lakini pamoja na maandiko yanayoonesha umuhimu wa jambo hili bado vijana wengi wa kiume kuliona kama halina msingi kwa kisingizio cha kuwa bado wanakula ujana.Kupitia tovuti pendwa ya Theclick101, inakuonesha nini kimefanywa na watafiti na kugundua faida kadha wa kadha kwa mwanaume atakayeamua kuingia kwenye muunganiko huu wa ndoa.

Zifuatazo ni faida ambazo unaweza kushtuka kwani umezikosa weweKapera

Huongeza Kipato KWA WINGI

Image result for PICHA ZA PETE

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na wanasayansi zinaonesha kuwa wanaume walio katika ndoa hupata akili zaidi ya kutafuta pesa na kuongeza kipato, kwa sababu ya majukumu ya kifamilia na kwa upande wa wanaume mabachela wanakuwa wanapenda sana kutafuta pesa za kutumia na sio za maendeleo ili waweze kula bata kama watoto wa mjini wanavyosema.

 KUSAIDIA KUPATA Afya NZURI

Image result for PICHA YA PETE

Kutokana na tafiti zinaonesha kuwa wanaume walio ndani ya ndoa, wanakuwa na afya kutokana na matunzo wanayopata kwa wake zao, kwani ukiwa ana mke utapikiwa vizuri , utafuliwa na kunyooshewa hivyo basi hili jambo linakwenda sambamba na kupata huduma ya tendo la ndoa ambalo linachagiza afya njema kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume wasio kwenye ndoa ambao wanatumia muda mrefu kutafuta wasichana ili kuweza kutimiza haja zao za kimwili na pili kuhusu vyakula wanakuwa hawana ratiba ya kula na hivyo kula chochote kinachopatikana kutokana na mazingira.

kuishe kwa mdamrefu yenye upendo

Wanasayansi wanasema kuwa, ndoa huongeza miaka saba (7) ya kuishi kwa mtu hivyo basi inapelekea kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama kiharusi, mshtuko wa moyo na pili huongeza maisha kwa wale walio na ugonjwa wa saratani.

Hizo ndo faida za ndoa kwako Mwanaume, lakini sio kwamba ukimbilie ndoa bila kujipanga kimaisha au kufanya chaguo sahihi kwani inaweza isiwe suluhisho bali ni changamoto kwako, kwani Theclick101 inashauri ni vyema ukaangalia faida kwanza na hasara au changamoto zake badaye kuliko kuendeleza maisha ya kisela ambayo hayana faida kwenye maisha yako.

                                                     KUEPUKA KUFANYA NGONO ZEMBE
wanaume au wanawake wanapokuwa hawana wapenzi ndani ya nyumba hasa katika kipindi cha baridi urazimika kwenda kuwatafuta wana wake au wanaume ilikukithi haya ya miili yao

No comments