kama Fid Q anakualika kitazama video yake ya ‘Roho’ ambayo amemshirikisha mkali Christian Bella .
kalizote blog
Good music imesogezwa kwako tena na time hii ni mchanganyiko wa radha mbili kutokea soko la muziki Tanzania ambapo mkali wa miondoko ya Hip Hop Farid Kubanda maarufu kama Fid Q anakualika kitazama video yake ya ‘Roho’ ambayo amemshirikisha mkali Christian Bella .
Mdundo ndio huu hapa chini ukimaliza kuutazama unaweza kudondosha comment yako hapo chini kisha baadae Fid Q na Christian Bella watapita kuzisoma.
Post a Comment