MAUA SAMA HATAMANI KUITWA MAMA
KALI ZOTE BLOG
Msanii wa muziki Maua Sama amesema kuwa kama atapata mwanaume sahihi wa kuzaa naye basi angependa kuzaa watoto mapacha.
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Mahaba Niue’ ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa angependa familia yake iwe na watoto wawili au watatu.
“Nikipata mume, nataka nizae watoto wawili au watatu siyo mbaya, kwa sababu anapenda sana nipate wakiume na kike, nikipata pacha siyo mbaya,” alisema Maua Sama.
Muimbaji huyo amesema kwa sasa anashindwa kupata mtoto kwa kuwa hajajipanga
Post a Comment