VideoMPYA: Dully Sykes FT Harmonize inaitwa ‘Inde’
KALI ZOTE BLOG
MSANII WA bongofleva Dully Sykes kamualika mdogo wake kwenye game ambaye niHarmonize na wakakaa juu ya huu mdundo mpya unaitwa ‘Inde‘ alafu wakamuitaDirector Hascana awapigie kichupa, ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutoa comment yako ili wakipita wajue watu wao wanasemaje.
Legend wa bongofleva Dully Sykes kamualika mdogo wake kwenye game ambaye niHarmonize na wakakaa juu ya huu mdundo mpya unaitwa ‘Inde‘ alafu wakamuitaDirector Hascana awapigie kichupa, ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutoa comment yako ili wakipita wajue watu wao wanasemaje.
Post a Comment