Fid Q kuachia album yake ‘Kitaaolojia’ mwishoni mwa mwaka
Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka. |
Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia inaweza kutoka November au December. Hiyo itakuwa ni album ya tatu ya Fid ambaye jina lake halisi ni Fareed Kubanda.
Ameshawahi kutoa album mbili, ‘Vina Mwanzo Kati na Mwisho’ na ‘Propaganda
Post a Comment