Y-Tony avunja ukimya na kigongo ‘Wivu Wangu’ azungumzia ujio wa album
\
Unaikumbuka Masebene? Ni ngoma ya aliyekuwa msanii chipukizi zaidi ya miaka miwili iliyopita, Y-Tony hadi kumpa nomination kwenye tuzo za Kili.
Kwa sasa amekua, amejifunza, ameiva na amerejea tena na kigongo kipya ‘Wivu Wangu’ shukrani kwa mipango mikubwa iliyonayo kampuni mpya inayomsimamia kwa sasa, Fresh Code Entertainment King.
Post a Comment