New Music: Diva f/ Mr Blue, Roma, Chemical, Bill Nas, Baghdad – Baby Boy Refix
Hatimaye Diva ameachia remix ya ngoma yake ‘Baby Boy’ aliowashirikisha rappers watano. Kwenye refix hii wanasikika Mr Blue, Roma, Chemical, Bill Nas na Baghdad. Wapishi ni Lamar na Dunga. Enjoy.
Post a Comment