Akamatwa kwa kupanda mnara wa makao makuu ya Trump Marekani Saa 4 zilizopita Mshirikishe mwenzako Polisi wakijitahidi kumuondoa Image caption Polisi wakijitahidi kumuondoa Mtu mmoja aliyejaribu kupanda jengo la Trump Tower lililopo jijini New York, ameondolewa na polisi katika jengo hilo baada ya kuchomwa na vioo vya jengo hilo lenye ghorofa 58 ambalo ni makao makuu ya kampeni za kumchagua Donald Trump. Mpandaji alionekana amelewa Image caption Mpandaji alionekana amelewa Trump anaishi kwenye chumba cha juu ya ghorofa hilo lakini kwa sasa anafanya kampeni zake nje ya mji. Mpandaji alijivuta huku akiwa akionekana kuwa amelewa, akitaka kuingia ndani ya jengo hilo. Umati wa watu ukishuhudia polisi wakimuondoa Image caption Umati wa watu ukishuhudia polisi wakimuondoa Polisi waliofika eneo la tukio wamesema hawakuweza kutambua nini haswa lilikuwa lengo lake. Hatimaye polisi walifanikiwa kumuingiza ndani ya jengo hilo Image caption Hatimaye polisi walifanikiwa kumuingiza ndani ya jengo hilo
KALI ZOTE BLOG
Mtu mmoja aliyejaribu kupanda jengo la Trump Tower lililopo jijini New York, ameondolewa na polisi katika jengo hilo baada ya kuchomwa na vioo vya jengo hilo lenye ghorofa 58 ambalo ni makao makuu ya kampeni za kumchagua Donald Trump.
Trump anaishi kwenye chumba cha juu ya ghorofa hilo lakini kwa sasa anafanya kampeni zake nje ya mji.
Mpandaji alijivuta huku akiwa akionekana kuwa amelewa, akitaka kuingia ndani ya jengo hilo.
Polisi waliofika eneo la tukio wamesema hawakuweza kutambua nini haswa lilikuwa lengo lake.
Post a Comment