Header Ads

Video: Ifahamu historia ya Jimmy Master (J Plus) – Sehemu ya Kwanza

KALI ZOTE BLOG


Jimmy Master ni bingwa wa fani ya mapigano aliyejizolea sifa kwenye filamu za mapigano zikiwemo mfulilizo wa filamu zake za Misukosuko.
Amekuwa na safari ndefu sana huku wengi wakiwa hawajui alianzia wapi. Sehemu hii ya kwanza ya interview yangu na yeye, itakupa mwanga. Historia yake inavutia sana, mtazame.
CHANZO BONGO 5

No comments