Kadjanitovideo mpya wimbo unaitwa “Nifanye Nini
Msanii aliye fahamika kama Kadjanito lakini sasahivi anajiita Natasha Lisimo, ambaye alishawahi kufanya vizuri na wimbo wa “Maumivu”, ameachia video mpya wimbo unaitwa “Nifanye Nini”, Video imeongozwa na Costantino Solo.
Post a Comment