makamu wa rais Tanzania Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27
- Bi Samia Suluhu alizaliwa Januari 27, 1960 visiwani Zanzibar. Alisomea shule za msingi za Chawaka (Unguja), Ziwani (Pemba) na Mahonda (Unguja) na kati ya 1966 na 1972 na kisha akasomea masomo ya upili Ngambo, Unguja (1973-1975) na Lumumba, Unguja (1976).Alisomea kozi mbalimbali hadi akafikia kupata shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire nchini Marekani.KaziAliajiriwa kama mchapishaji katika serikali ya Zanzibar mwaka 1977 na akapanda ngazi hadi kuwa afisa wa mipango serikalini kati ya 1987 na 1988.Alihudumu pia kama meneja wa mradi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Zanzibar kati ya 1985 na 1997, na pia kama meneja mkurugenzi wa Mwamvuli wa NGO 1998 hadi 1999.
- Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Umri, Afya na Uwezo wa kuwatumikia Watanzania.
- Mku Wa @UNEP @ErikSolheim akikutana na Makamu wa Rais H.E. @SuluhuSamia na Waziri wa Nchi, Ofisi wa VP, Muungano na Mazingira @JMakamba
Post a Comment