Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr JOHN POMBE MAGUFULI ameonya kuhusu vyombo vya habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr JOHN POMBE MAGUFULI ameonya kuhusu vyombo vya habari
vinavyojihusisha na habari za uchochezi
kwamba serikali haitosita kuchukua hatua dhidi yake ikiwa ni pamoja na
kuvifungia,kwani ni hatari kwa amani ya nchi.
Rais MAGUFULI ameyasema hayo leo mara baada ya ufunguzi wa kiwanda cha JAMBO PRODUCT,ambapo amesma kuwa baadhi
ya vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikitanguliza mbele masilahi ya kisiasa,badala ya kuhamasisha maendeleo ya
nchi.
Dr MAGUFULI amesema madhara yanayotokana na vyombo vya habari
kuandika habari za uchochezi ni makubwa kwani husababisha uvunjifu wa amani
-
Rais MAGUFULI amepongeza vyombo vya habari
vinavyotanguliza uzalendo na masilahi ya watanzania,kwani vinasaidia kudumisha
amani ya Nchi.
Post a Comment