Mtoto mmoja amefariki dunia na familia kadhaa kubaki bila makzi baada ya nyumba zao kubomoka na nyingine kuezuliwa na upepo kufatia mvua
SHULE YA MSINGI VIWANDANI
Mtoto mmoja amefariki dunia na familia kadhaa kubaki bila
makzi baada ya nyumba zao kubomoka na nyingine kuezuliwa na upepo kufatia mvua
iliyoambatana na upepo mkali iliyo nyesha siku usiku wa kuamkia tarehe
12.1.2017 katika maeneo mbali mbali ya manispa ya shinyanga.
Mvua hiyo imesababisha maafa makubwa ikiwemo kifo cha mtoto
huyo na kuezua sehemu kubwa ya madarasa katika shule ya msingi Viwanda huko kata ya ibadakuli
imenyesha kwenye maeneo ya Mwagala,Iligwamabu,Ugweto,
na kitangili na kusababisha familia kadhaa kukosa makazi na kulazimika
kuhifadhiwa kwa majirani
BATI LA PAA LA NYUMBA
Mkuu wa wilaya ya shinyanga JOSEPHINAMATIRO amesema mtoto
aliyepoteza maisha kufatia mvua hiyo ni mwenye umri wa miaka minne mkaziwa
kitangili ambaye amefariki dunia baada ya kuangukiwa na matofali
VIFAA VYA KUFUNDISHIA VILIVYO LOWANA NA MVUA
MWANDISHI WA RADIO FARAJA FM AKIVANYA NAOJIANO NA SUNGU SUNGU
Taarifa kamili ya madhara yaliyotokea kutokana
na mvua hiyo itatolewa baada ya tathimini kufanyika
BWENI LA SHULE KUALIBIKA VIBAYA
SUNGU SUNGU
CHOO CHA SHULE YA VIWANDANI
MWANDISHI NA MMILIKI WA KALI ZOTE BLOG SYLAS DENISS
VIVAA VYA SHULE VILIVYO ALIBIKA
DEREVA WA REDIO FARAJA FM AKIWA NA MWANDISHI WA HABARI
Post a Comment