Msanii kutoka Tanga, Seif Shaaban maarufu kama Matonya ambaye ametuletea video yake mpya wimbo unaitwa
Msanii kutoka Tanga, Seif Shaaban maarufu kama Matonya ambaye ametuletea video yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tonee Blaze.
Post a Comment