MWANAMKE MWEUSI NI MTAMU KULIKO MWANAMKE MWEUPE
Kumekuwa na mizozano ya hapa na pale kwenye vijiwe vya kahawa, mabwenini, barabarani, kazini, magetoni na sehemu nyingine kama hizo ambazo huwapa wanaume mwanya wa kujadili mapenzi, wanawake na uzuri wao.
Leo Mzee wa Makopaz amekutana na mada flani inayohusiana na utamu wa mwanamke katika maeneo ya Chang`ombe, Dar Salaam kipindi ambacho wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) walipokuwa wanarudishia nguzo ya umeme iliyokuwa imeharibika. Mada ilikuwa ni tamu sana kiasi kwamba walishindwa kumaliza kazi kwa muda muafaka. Unajua tena, na matusi ya hapa na pale ndio kachumbari kwa wafanyakazi hao!!
Kundi lao lililokuwa na watu wapatao 8 ambalo liligawanyika katika sehemu mbili: wafanyakazi 6 kati yao walidai kuwa wanawake weusi ni watamu isivyo kawaida, na 2 waliobakia wao wakadai kuwa mwanamke mweupe ndiyo hatari kabisa!
Mzee wa Makopaz alisikiliza hoja zao kwa makini sana, hivyo kaamua kuzileta kwenu ili mwangalie wenyewe zipi zenye mashiko:
(a) Waliodai kuwa wanawake weusi ni watamu zaidi kuliko wale weupe walishikilia hoja hizi:
Wanawake weusi ni wa motoooooo! Hivyo ukiingiza tuu, inakuwa kama Mashine inaungua hivi. Moto huo hufanya wanaume wengi kulegea kabisa na kujikuta wakipiga kelele kama wanawake kwenye mazishi ya kipenzi cha wengi.
Post a Comment