Mike Tyson kumnoa Chris Brown kwenye pambano lake na Soulja Boy
Bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Mike Tyson, amethibitisha kuwa atamnoa Chris Brown.Lile pambano la ndondi kati ya Chris Brown na Soulja Boy linazidi kupata promotion zaidi.
Tyson amepost video hiyo juu kwenye Instagram na kuandika: It’s official. I’m going to train @chrisbrownofficial. Gonna teach him every dirty trick in the book to knockout @souljaboy. #showup #desertbeatdown #norunning #noexcuses @fredfrenchy
Kwa upande wake Soulja Boy atanolewa na Floyd Mayweather.
Post a Comment