Video: Joti alivyoirudia Muziki ya Darassa kwa kuifanyia hii video
Imekuwa kawaida ya mchekeshaji Joti kuzirudia baadhi ya nyimbo zinazofanya vizuri, time hii ameirudia ya Darassa ya ‘Muziki’ ambayo ni moja kati hit single zilizofunga mwaka 2016 vizuri kabisa na bado ikiwa inaendelea kufanya vizuri mpaka sasa kwenye TV na Radio station.
Unaweza kuitazama hapa chini, pia usiache kuniandikia ili Joti akisoma hapa ajue watanzania wameipokea vipi>>>
Video: ‘Nimeshawahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji’ – Darassa>>>
Post a Comment