Dereva wa Tz aliyetekwa nyara DRC aachiwa huru
Dereva wa Tz aliyetekwa nyara DRC aachiwa huru
Mmoja kati ya madereva nane wa Tanzania waliotekwa na wapiganaji wa Mai mai Jamuhuri ya demokrasia ya Congo,Asman Fadhil amesema kuwa kutekwa kwao, na namna walivyookolewa na jeshi la nchi hiyo pamoja na maisha walioisha wakiwa mateka.
Post a Comment