Rais wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof Hasa Mlawa
Rais wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof Hasa Mlawa
Rais wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof Hasa Mlawa na kuvunja bodi ya udhamini wa mfuko huo.
Taarifa kutoka ikulu imesema uamuzi huo utaanza kutekelezwa mara moja.
"Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF utafanywa baadaye," taarifa hiyo imesema.
Post a Comment