Header Ads

Rapa kutoka kundi la East Coast Team, King Crazy GK amevunja ukimya kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzuri Pes

a’. Audio imeandaliwa na producer Aloneym na kufanyiwa mastering na Wanene Entertaiment.


No comments