Header Ads

Rayvanny wa WCB ameliki Nyumban

Muimbaji Rayvanny huyo ambaye anajiandaa kwenda kwenye show nchini Burundi akiwa na wasanii wenzake wa WCB, ameonyesha nyumba anayoishi na gari ambalo atalitumia kwa sasa.
rayvany


Nyumbani kwa Rayvany WCB

Image result for picha ya  Rayvanny

“Daaah! eti namimi leo naingia kwangu, kweli Mungu hana upendeleo,” Rayvanny aliandika ujumbe huu instagram katika hiyo picha hapo juu.
Toka Rayvanny ajiunge na WCB, ameshafanya nyimbo mbili, ‘Kwetu’ pamoja na ‘Natafuta Kiki’ ambazo zimpatimia mafanikio makubwa kwa muda mfupi.

No comments