Header Ads

Msanii wa muziki wa Pop Marekani, Lady Gaga ametangaza kjuachia albamu yake Oktoba 21, mwaka huu.


Image result for picha ya Lady Gaga


Msanii wa muziki wa Pop Marekani, Lady Gaga ametangaza kjuachia albamu yake Oktoba 21, mwaka huu.
Albamu hiyo ameipa jina la ‘Joanne’ likiwa ni moja kati ya majina yanayotumiwa na familia yao.
Alipohojiwa na redio ya Beat 1, muimbaji huyo amesema kuwa ndani ya albamu hiyo amewashirikisha mastaa kadhaa akiwemo Mark Ronson, Father John Misty na Hillary Lindsey na itakuwa na nyimbo 11.
Aidha Lady Gaga amedai kuwa muda si mrefu ataachia video ya wimbo wake wa ‘Perfect Illusion’ aliouachia mwezi Agosti, mwaka huu amba pia utakuwemb kwenye albamu yake hiyo mpya.

No comments