Lil Wayne anaendelea kuzitoa hasira zake kwa Birdman.
Lil Wayne anaendelea kuzitoa hasira zake kwa Birdman. Awamu hii ni kwa kumwacha Tyga – mmoja wa wasanii wake, kuondoka bila kumshirikisha.
Vyanzo vilivyo karibu na Wayne vimeiambia TMZ kuwa Weezy aliachwa anaelea na hivyo kufungua milango ya kwenda kwenye label ya Kanye West, G.O.O.D. Music.
Tyga alikuwa amesainishwa na Young Money, ambayo Weezy alikuwa na asilimia 49% kama mwanzilishi mwenza
Post a Comment