WATENDAJI MKOANI KIGOMA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI
WATENDAJI MKOANI KIGOMA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI
Mkuu wa mkoa wa KIGOMA Brigedia Jenerali Mstaafu EMMANUEL MAGANGA amewataka wakurugenzi watendaji wote mkoani humo kuhakikisha kuwa fedha zinatolewa na serikali kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo zinatumika kama ilivyokusudiwa na siyo vinginevyo.
Akikabidhi pikipiki 42 kwa waratibu elimu kata wa Halmashauri mbalimbali za mkoa huo MAGANGA amesema kuwa serikali kwa kushirikiana wadau wa maendeleo imedhamiria kuzipatia ufumbuzi wa haraka kero za kijamii kama Elimu, Afya, Maji na miundo mbinu ya kiuchumi zinazowakabili wananchi hivyo yeyote atakayeenda kinyume na malengo ya serikali
Post a Comment