Diamond Platnumz kuvuka mipaka ya TANZANIA nakumsaka msanii mwengine wa WCB
Diamond Platnumz amesema kuwa kuna mipango ya kuongeza nguvu kwenye lebo yake ya WCB kwa kumsaini msanii wa nje ya Tanzania.
Hitmaker huyo wa Kidogo amesema hayo wakati akijibu swali la shabiki kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “WCB hamjafikiria kusaini msanii nje ya Tanzania au mtafanya
Post a Comment