Header Ads

watu 12 (wanawake 8,wanaume 4) wamepoteza maisha huku 9 wakijeruhiwa

watu 12 (wanawake 8,wanaume 4) wamepoteza maisha huku 9 wakijeruhiwa

ajali songea 
 Basi la New Force kutoka Dar es salaam kwenda Songea limepata ajali baada ya kupinduka eneo la Ilongwi/Kifanya kilomita kadhaa kutoka mkoani Njombe.

Ajali hiyo imetokea Septemba 19,2016 majira ya saa moja na dakika 40 usiku.


Inaelezwa kuwa watu 12 (wanawake 8,wanaume 4) wamepoteza maisha huku 9 wakijeruhiwa.

Abiria wa basi hilo wanasema basi hilo lilikuwa katika mwendo kasi na kwamba lilinusurika kupinduka mara mbili na mara ya tatu ndipo likapinduka.

Majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya Madaba.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ACP Prudenciana Protas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo

No comments