udikteta upo TANZANIA ASEMA LOWASA
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Edward Lowassa
ameeleza wasiwasi wake kuhusu kile anachokitaja kama dalili za udikteta
kwenye uongozi wa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.
Amesema hiyo ndiyo iliyokuwa sababu ya kuanzisha kampeni ya Ukuta.
Bw
Lowassa aliwania urais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka jana kwa
tiketi ya chama cha Chadema lakini akashindwa na Magufuli wa Chama Cha
Mapinduzi, CCM.
VIEW BBC
Post a Comment