Header Ads

Kendrick Lamar amuasa Lil Wayne asiache muziki

Rapper wa Marekani, Kendrick Lamar ameungana na wasanii wengine wa nchi hiyo kupinga kauli ya Lil Wayne aliyoitoa ya kutaka kustaafu kufanya kuziki wiki iliyopita kwenye tamasha la ziara ya Drake ya Summer Sixteen iliyofanyika Houston, Marekani.

kendrick-lamar-lil-wayne



Rapper huyo ametuma kipande cha video kinachomuonyesha akirap na kusema maneno yanayosikika akimtaka Lil Wayne aache kuongelea kabisa kauli yake hiyo ya kustaafu.
“Public service announcement, n***a. We in the motherf***in’ studio. 5:32 in the motherf***in’ morning,” amesema Kendrick. “N****s talkin’ bout Sqad Up, that’s cliche!. We going all the way back, when he was motherf***in’ 16, 15 years old on some hot boy sh*t.”
“Day one. N****a talking ’bout retiring and sh*t. F*** that, n***a! Retire, quitting rap, whatever you wanna call it. F**k that, n***a,” ameongeza.
Mwaka 2009 Kendrick Lamar aliwahi kuthibitisha kuwa Lil Wayne ndio rapper bora zaidi kwake.
Tazama video hiyo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitt

No comments