Header Ads

GARI KUGONGA PIKIPIKI KUACHANJIA


KALI ZOTE BLOG



Mtu mmoja amefariki na watano kujeruhiwa baada ya basi la Hood T477 AXV, kugonga Pikipiki na kupinduka katika eneo la Mambungo.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuhamia ghafla upande wa kulia akitaka kuingia katika kituo cha mafuta
 

No comments