Header Ads

Rooney aandika rekodi mpya kucheza michezo England

KALI ZOTE BLOG


Rekodi hii inaipita ile ya David Beckham ya michezo 115
Image captionRekodi hii inaipita ile ya David Beckham ya michezo 115
Wayne Rooney ameandika historia ya kuwa mchezaji aliyeichezea timu ya taifa ya England mara nyingi zaidi, kwa wachezaji wa ndani ya uwanja.
Ulikuwa mchezo wake wa 116 kuiwakilisha England alipocheza na Slovakia katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la mwaka 2018.
Rekodi hii inaipita ile ya David Beckham ambaye aliichezea timu ya Taifa la England mechi 115.
Rooney akipokea maelekezo wakati wa mchezo
Image captionRooney akipokea maelekezo wakati wa mchezo
Mlinda mlango Peter Shilton, ndiye anaishika rekodi ya jumla kwa kuichezea England mara 125.

No comments