Header Ads

AWATAKA WAUSIKA KUSOMA MITA ZA MAJI

 diwani wa kata ya Ngokolo katika manispaa ya shinyanga EMANUEL NTOBI ameitaka mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji EWURA  kuangalia namna ya kupunguza gharama za maji kwa wakazi wa mji wa shinyanga


Image result for picha la boma la maji

Akizungumza na waandishi wa habari hii leo NTOBI amesema kama mamlaka hiyo imeweza kulisimamia shherika la umeme nchini TANESCO na kuwezesha kupunguza gharama za umeme ikiwemo kuondoa gharama zahuduma zinazo julikana kama service charges pia inapaswa kufanya hivyo  hivyo katika huduma za maji ili kuwa bpunguzia wananchi gharama za maisha

ntobi amesema sasa mamlaka ya maji na usafi wa mazingira katika manispaa ya shinyanga SHUWASA imepandisha gharama za maji kutoka shilingi 790 kwa unit moja hadi nkufikia 1105 gharama ambazo haziendani na kipato cha wa nanchi 
Image result for picha ya mita ya maji

copy picha mtandaoni


diwa huyo pia amewashutum  maafisa wa SHUWASA kuwa hawafiki katika makazi ya watu na kusoma dira za maji na badala yake wanapigia gharama kwa kuwakadilia kinyume na matumiz

No comments