Header Ads

Je nawawake wanaoishi pamoja hupata hedhi wakati mmoja?

KALIZOTE BLOG
Image copyrightISTOCK
Image captionNadharia inayokubaliwa na wengi ni Image result for PICHA YA WANAWAKE WAKISAGANA hedhi za wakati mmoja hutokana na uwezo wa ushirikiano uliopo baina ya wanawake katika mbambo yao COPY MTANDAONI
Inaaminiwa kwamba wanawake wanaoishi pamoja hatimae huwa wa na mizunguko inayofanana ya kila mwezi ya hedhi. Lakini je hili ni kweli ama ni jambo linalotokea kwa bahati tu?
Dhana kuhusu mizungungo ya hedhi ni kwamba vichocheo vya mwili vya mwanamke ama homoni vinavyosababisha hedhi kwa lugha ya kitaalamu-pheromones hufanya kazi kwa wakati mmoja wanapokuwa na uhusiano wa karibu, na hivyo kusababisha kuwa kupata hedhi kwa wakati mmoja. Wanawake wengi wamejikuta katika hali hii.
"Nadhani suala hili ni kweli ," anasema Emma. "Tukisema ni suala linalojitokeza kwa bahati basi zitakuwa ni bahati nyingi sana ."
Emma, mwenye umri wa miaka 24, anaishi na wasichana wenzake watano katika chuo kikuu. Anasema kwamba katika kipindi cha miezi michache woote walipata hedhi zao kwa wakati mmoja.
"ni suala linaloaminiwa na wengi," anasema Alexandra Alvergne, profesa wa masuala ya kibaiolojia na maumbile ya binadamu katika chuo kikuu cha Oxford.
chati ya hedhi ya mwanamkeImage copyrightISTOCK
Image captionTafiti nyingine, kuhusu binadamu na watu waliowahi kuishi pamoja zinathibitisha kuwa wanawake wanaoishi pamoja hupata hedhi wakati mmoja
Kuna nadharia mbali mbali kuhusu sababu inayoweza kusababisha wanawake wanaoishi pamoja kupata hedhi wakati mmoja.
Utafiti wa Dr McClintock ulibainisha kuwa hii ilikuwa ni kwasababu wanawake waliokuwa wanaishi pamoja walikuwa na uwezekano kwamba homoni za kila mmoja ziliweza kuathiri za mwenzake.
Na kwa nini basi hili likawezekana? Nadharia ambayo inakubaliwa na wengi ilikuwa ni uwezo wa ushirikiano uliopo baina ya wanawake katika mambo.
Tafiti nyingine, kuhusu binadamu na watu waliowahi kuishi pamoja zilionyesha majibu yanayofanana na hayo.
Lakini kulikuwa na tafiti nyingine ambazo hazikupata ushahidi wa wanawake wanaoishi pamoja na kuwa na urafiki kupata hedhi kwa wakati mmoja.

No comments