Header Ads

hatimaye kivuko cha Mv Magogoni kimeanza tena kazi.

KALI ZOTE BLOG

BAADA ya kusitisha utoaji huduma ya kuvusha watu kati ya Feri na Kigamboni jijini Dar es Salaam hatimaye kivuko cha Mv Magogoni kimeanza tena kazi.

Kurejea kutoka katika matengenezo makubwa kwa kivuko hicho ni faraja kwa wakazi wa kigamboni kwani kitarahisisha uvukaji ambao kwa muda mrefu ulikuwa ukifanywa na kivuko cha Mv Kigamboni.

Akizundua kuanza tena kwa safari za kivuko hicho ambacho kilikuwa matengenezo tangu Mei mwaka huu Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Joseph Nyamhanga amesema ua ukarabati wa kivuko hicho ambacho ni kikubwa kati ya vivuko vilivyopo hapa nchini, umegharimu shilingi Bilioni 1.1.

No comments